Mafunzo ya Mauzo

Je, uko tayari kufanya kile usichokipenda ili upate kile unachokipenda? Kama wewe ni muuzaji, ni zaidi ya kukutana na watu na kuongea nao tu. Je, una ujasiri wa kiakili/mawazo kuweza kupata mafanikio? Je,unajua hatua 4 muhimu kufikia malengo yako? Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika mauzo, ninajua nini maana yake. Niko hapa kukusaidia kufikia malengo yako na kubadilisha ndoto zako kuwa malengo, ili uweze kuyafikia malengo yako.

salesdiagram