Tag Archives: Success

Ngazi za uongozi

Ngazi za uongozi Wewe kama Kiongozi au meneja mpya au wa zamani, uwe umechaguliwa au umejichagua, unatakiwa kuchukua hatua katika changamoto tofauti. Umechagua kusonga mbele katika kazi yako, kwenda mbele na kupata mafanikio, mafanikio ya kusonga mbele. Haya mafanikio mapya yatakutaka utumie mbinu mpya ambazohukuzitumia kabla. Nitalifafanua jambo hili. Tuseme kwamba wewe umekuwa ni muuzaji mzuri sana na kiwango cha mauzo yako kinathibitisha hili, ukapata nafasi ya kuchaguliwa kuwa meneja, kiwango chako na mafanikio yako yamekufanya uwe meneja, lakinikiwangochakosioambacho kimekufanya tu uwe meneja kama meneja Continue reading →