Tag Archives: Dreams

Kujiongoza mwenyewe

Kujiongoza  mwenyewe Kama tunavyoanza mada ya uongozi, lazima tujadili kuhusu kujiongoza binafsi ikiwa ndio kama msingi wa yote katika kujiongoza mwenyewe. Kama unaishi peke yako, utagundua kwamba katika nyakati ngumu, utagundua kwamba hata kujiongoza mwenyewe ni jambo lenye changamoto. Msingi wetu sisi kuwa kama viongozi unahusika na nadhalia niliyokwishaitoa katika mada iliyopita. Ilikuweza kuelezea hili, tunahitaji mambo yafuatayo: Hayo ni: Fanya utafiti kujua uko wapi sasa, unafanyanini kuwezakujiongoza, unawezaje kujisimamia katika kujiongoza, misimamoyakoniipi, nini kimepelekea kuwa katika hali hiyo uliyopo leo. Katika hali uliyonayo hivi Continue reading →

MMMT – Mipango – Maandalizi – Muundo – Taratibu & Taarifa

MMMT Unajiuliza MMMT ni nini? Usijiulize tena. Leo tunajadili namna ya kuedelea baada ya kutambua kwamba una ndoto, kuifanya kuwa lengo na kujiandaa, kuwa tayari kufanya lililo muhimu kutimiza lengo lako. Kutimiza ndoto yako. Binafsi, Ninafanya chini ya ”taratibu” zifuatazo: Mipango Maandalizi Muundo Taratibu & Taarifa Mipango. Iwe mauzo, mazoezi, kazi au kuvuta sigara mipango ni muhimu. Lengo lina mwisho, hivyo basi kuanzia siku hiyo anza na mpango ambao utakuja kuwa na taarifa, taarifa ambazo zitalifanikisha lengo. Fikiria vitu halisi unapopanga, utafanyakazi siku ngapi? Siku zipi Continue reading →