Tag Archives: Discipline

MMMT – Mipango – Maandalizi – Muundo – Taratibu & Taarifa

MMMT Unajiuliza MMMT ni nini? Usijiulize tena. Leo tunajadili namna ya kuedelea baada ya kutambua kwamba una ndoto, kuifanya kuwa lengo na kujiandaa, kuwa tayari kufanya lililo muhimu kutimiza lengo lako. Kutimiza ndoto yako. Binafsi, Ninafanya chini ya ”taratibu” zifuatazo: Mipango Maandalizi Muundo Taratibu & Taarifa Mipango. Iwe mauzo, mazoezi, kazi au kuvuta sigara mipango ni muhimu. Lengo lina mwisho, hivyo basi kuanzia siku hiyo anza na mpango ambao utakuja kuwa na taarifa, taarifa ambazo zitalifanikisha lengo. Fikiria vitu halisi unapopanga, utafanyakazi siku ngapi? Siku zipi Continue reading →