Ushauri wa makampuni

Je, una biashara? au upo katika mpango wa kuanzisha biashara? Au unataka kubadilika ili kuendeleza kampuni? Kama ni hivyo mimi ninaweza kukusaidia kutokana na uzoefu wangu wa miaka mingi. Ninaweza kukuusaidia katika njia zote unazotaka na kuhitaji, kufanya kazi pamoja katika mpango wako wa biashara, nikusaidie katika mipango sahihi ya biashara yako na pia kkuwa kama mwalimu wa wafanya kazi wako ili kuwafanya waweze kuwa na ufanisi kazini.

Niko tayari kushiriki na uzoefu wangu wote, kuleta mawazo/mitazamo mipya ya kibiashara, kujitolea katika biashara yako na kufanya kila kitu kiwezekane, kuifanya biashara ikuwe na kufanikiwa.

Nipigie kwa namba hii +255 758 205030

Au niandike kupitia  info@beemte.com

micael-tanzborn-beemte-7