Monthly Archives: F Y

Kupangilia mambo ya baadae vs kutokuwa na mipango ya mamboya baadae

Kupangilia mambo ya baadae vs kutokuwa na mipango ya mamboya baadae Mada ya leo imejikita katika kutumia muda; kuutawala muda, au kutawaliwa na muda na jinsi gani unatakiwa kupangilia mambo yako kuliko kusubiri mazingira yakufanikishie jambo lako. Kilenilichokigundua ni kwamba mipango mibovu, maandalizi mabovu na na miundo mbinu ya kusuasua inaweza kuonesha kiasi gani cha muda ulionao, taarifa na watu. Utaishia kuanguka tu kwa kuwa mipango mibovu matokeo ni kutoweza kupangilia muda wako. Kama una kaziambayo unatakiwa kuimaliza siku Fulani nimuhimu kuimaliza kazi hiyo kabla Continue reading →