Monthly Archives: F Y

Maelezo – Uthibitisho – Kuweka – Ujumuishaji

M U K U Katika makala iliyopita, niliongea kuhusu kuongeza Maelezo, mifano, namna ya kutumia na kuimarisha. Ninataka kwenda mbele kidogo leo.   Kama Meneja, ni muhimu kuhakikisha kwamba taarifa au ujumbe unafika kwa wakati katika kampuni na unafanyiwa kazi. Kuhakikishahili linatokea, yafuatayo lazima yatekelezwe; •Maelezo- kuwapa taarifa ya majukumu ya mbele. Nini cha kufanya, nalini inatakiwa kufanyika. Chukua mfano kuhusu simu na majibu rahisi na waambie kwanini wafanyakazi wako wanatakiwa kupokea simu na kuongea na wateja. • Mifano – Kwa kuwapa uwezo wafanyakazi wako Continue reading →