Monthly Archives: F Y

Ngazi za uongozi

Ngazi za uongozi Wewe kama Kiongozi au meneja mpya au wa zamani, uwe umechaguliwa au umejichagua, unatakiwa kuchukua hatua katika changamoto tofauti. Umechagua kusonga mbele katika kazi yako, kwenda mbele na kupata mafanikio, mafanikio ya kusonga mbele. Haya mafanikio mapya yatakutaka utumie mbinu mpya ambazohukuzitumia kabla. Nitalifafanua jambo hili. Tuseme kwamba wewe umekuwa ni muuzaji mzuri sana na kiwango cha mauzo yako kinathibitisha hili, ukapata nafasi ya kuchaguliwa kuwa meneja, kiwango chako na mafanikio yako yamekufanya uwe meneja, lakinikiwangochakosioambacho kimekufanya tu uwe meneja kama meneja Continue reading →

Wiki 3…

Wiki 3 Tafiti zinaonesha kwamba inachukua angalau wiki tatu kuweza kubadili tabia ya zamani  na kuweza kuanza na malengo na mwonekano mpya, tabia mpya kuanza maisha mapya kama mtu mpya. Kwa hiyo wiki 3 uvumilivu na kazi kwa bidii. Haijalishi malengo yako ni yapi, unatakiwa kujipa muda wa kupokea mabadiliko unayotarajia. Katika kupata lengo au fursa ya mafanikio, unajikuta unatumia nguvu sana mwilini, hii inamaanisha ulitarajia matokeo ya haraka. Kwa sababu ya hili ni muhimu sana kufuatilia PPSR, ambayo tumeshaielezea katika kurasa zilizopita. Ukiwa umeshaamua Continue reading →